MUSIC

                                              STANNAH
Rapper Stannah ni rapper anayekuja vizuri sana kwenye game ya muziki wa hiphop..Stannah ameshaachia track kadhaa lakini pia ni msanii ambaye ana matazamio makubwa baadae kupitia muziki wake...kati ya track ambazo zinafanya vizuri zaidi ni New Era na Rap ambayo amemshirikisha Raymond chini ya producer Qb Touch


Stannah WashaWasha

New Video:God One-Mimba


Tazama video mpya ya God One ya wimbo wake uitwao mimba.
God One ni msanii chipukize anayefanya vizuri  katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya
God One

NEW MUSIC:FunCulture Ft Lecture-Nogesha
FunCulture
Msanii chipukizi FunCulture ameachia rasmi ngoma yake mpya inayoitwa Nogesha aliyomshirikisha Lecture iliyofanyika katika studio ya Kamosage Records chini ya Producer G-Touchez.

No comments:

Post a Comment