TATIZO KUBWA LA WASANII WENGI KUTOENDELEA

Wasanii wengi nchini Tanzania wa tasnia tofauti tofauti wanashindwa kuendelea kutokana na kukosa nidhamu ya kazi....wanamuziki na waigizaji wamekuwa wahanga wakubwa wa tatizo hili la kutokuwa na nidhamu kwa mfano unakuta msanii fulani baada ya kuanza kupata hit kidogo tayari ameshakuwa mtu wa skendo mbaya ya kuleta picha mbaya kwa jamii ya nyumbani hata na nje ya nchi...mabadiliko huja kwa kupenda unachofanya pia kukiheshimu na kujiheshimu pia!!......

No comments:

Post a Comment