Stannah WashaWasha |
Wednesday 15 July 2015
STANNAH COMING
Rapper Stannah ni rapper anayekuja vizuri sana kwenye game ya muziki wa hiphop..Stannah ameshaachia track kadhaa lakini pia ni msanii ambaye ana matazamio makubwa baadae kupitia muziki wake...kati ya track ambazo zinafanya vizuri zaidi ni New Era na Rap ambayo amemshirikisha Raymond chini ya producer Qb Touch
Tuesday 14 July 2015
New Video:Fea Lyanta Moyo(Coming Soon)
Tazama Hapa kipande cha video ya Msanii Fea Lyanta......Ni nomaaa!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)