Wednesday 1 July 2015

WEUSI NDANI YA GEITA USIKU WA EID MOSI

Ni show ya kukata na shoka kundi zima la Weusi litakuwa ndani ya Geita kwa show kali pale Desire Park likitikisha kibabe jukwaa kuufurahia usiku wa Eid Mosi na wewe,Hapa Joh Makini,pale Nikki Wa Pili na huku G-Nako Warawara...eeeh bhana ......USICHEZE MBALI kwa kiingilio chako cha tsh 10000 tu
Weusi

NEW MOVIE COMING SOON!!!

Mtoto Wa Msukule
COMING SOON!!....

MOVIE:MTOTO WA MSUKULE

Kamosage Films Production inakuletea filamu mpya inayoitwa MTOTO WA MSUKULE wakimshirikisha staa mkubwa wa movie Tanzania Peter Phineas.Kaa tayari filamu hii inatoka hivi karibuni....

Mtoto Wa Msukule

Monday 29 June 2015

Sunday 28 June 2015

New Video:God One-Mimba



Tazama video mpya ya God One ya wimbo wake uitwao mimba.
God One ni msanii chipukize anayefanya vizuri  katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya
God One